Mpaka wa DRC na Rwanda wafunguliwa
Shughuli za kibiashara zimerudi kama kawaida kati ya Rwanda na Congo upande wa Goma na Gisenyi baada ya Rwanda kufunga mpaka wake hapo jana.